Unakuta mwanaume/mwanamke anakupenda unamkataa Kwa kuamin kwamba hajakidhi vigezo vyako. Lakin unakosa kabisa mwanaume/mwanamke anayekupenda katika kiwango kile cha yule wa kwanza, mda mwingine inabid umkubal tu anayekupenda Kwa sababu maisha hayukupi kila unachotaka