Maisha hayatabiriki, tujipange

Mung Chris

JF-Expert Member
Joined
Sep 12, 2017
Posts
3,474
Reaction score
4,007
Wana Jf

Imekuwa ngumu sana kumpata mtu au rafiki ambaye anaweza akakusaidia kile ambacho unahitaji, ni wa chache sana wanaoweza kufanya hivyo, wapo baadhi wameanza kujipanga, kama wapo ambao hawaja shtuka huu ni wakati sasa, maana yangu ni kwanmba tuachane na dhana ya matumizi yasiyo ya lazima, tuishi kwa mipango na hesabu ambazo zitatusaidia kwa baadae tusitegemee sana watu kutusaidia mfano kaka, rafiki, dada, mjomba... tujipange maana tunakoelekea pesa hazipatikani ki urahisi, chance ukiipata leo ya kuwa na pesa za kutosha au kiasi ipangilie vizuri.
 
Karibu albadir inaanza kujibu. Si imesomwa leo??
 
Hilo ni kweli kabisa. Na bahati mbaya "uaminifu imekuwa bidhaa adimu sana"
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…