BR Stationary Member Joined Oct 7, 2026 Posts 21 Reaction score 45 Saturday at 9:53 AM #1 “Maisha hayahitaji uwe mkamilifu, yanahitaji uwe mvumilivu. Kila siku ni nafasi mpya ya kujifunza, kupambana na kusonga mbele. Usikate tamaa kwa sababu tu mambo hayajaenda kama ulivyopanga. Wakati wako bado unakuja.” 💯🔥
“Maisha hayahitaji uwe mkamilifu, yanahitaji uwe mvumilivu. Kila siku ni nafasi mpya ya kujifunza, kupambana na kusonga mbele. Usikate tamaa kwa sababu tu mambo hayajaenda kama ulivyopanga. Wakati wako bado unakuja.” 💯🔥
Samson Ernest JF-Expert Member Joined Aug 28, 2014 Posts 1,242 Reaction score 1,751 Saturday at 10:19 AM #2 Asante
super-doll Member Joined Oct 28, 2026 Posts 51 Reaction score 49 Saturday at 10:32 AM #3 BR Stationary said: “Maisha hayahitaji uwe mkamilifu, yanahitaji uwe mvumilivu. Kila siku ni nafasi mpya ya kujifunza, kupambana na kusonga mbele. Usikate tamaa kwa sababu tu mambo hayajaenda kama ulivyopanga. Wakati wako bado unakuja.” 💯🔥 Click to expand... Asante
BR Stationary said: “Maisha hayahitaji uwe mkamilifu, yanahitaji uwe mvumilivu. Kila siku ni nafasi mpya ya kujifunza, kupambana na kusonga mbele. Usikate tamaa kwa sababu tu mambo hayajaenda kama ulivyopanga. Wakati wako bado unakuja.” 💯🔥 Click to expand... Asante
Adverse Effect JF-Expert Member Joined Oct 8, 2017 Posts 3,765 Reaction score 9,772 Saturday at 10:39 AM #4 Hiyo ndio maana ya maisha.
win-one JF-Expert Member Joined May 28, 2024 Posts 11,466 Reaction score 38,986 Saturday at 10:41 AM #5 na mimi nimeacha kuwasikiliza wanao niambia "umri unaenda"
BR Stationary Member Joined Oct 7, 2026 Posts 21 Reaction score 45 Saturday at 12:15 PM Thread starter #6 win-one said: na mimi nimeacha kuwasikiliza wanao niambia "umri unaenda" Click to expand... Safi
Smart911 Platinum Member Joined Jan 3, 2014 Posts 179,759 Reaction score 197,429 Wednesday at 9:20 PM #7 Hakika... Cc: Mahondaw