Maisha haya!

Bailly5

JF-Expert Member
Joined
Mar 11, 2015
Posts
16,553
Reaction score
35,424
mjini kila mtu na lake
 

Attachments

  • 1432661292128.jpg
    37.9 KB · Views: 2,014
Mrombo huyu kaamua kurudi kwa mkewe baada ya kuishiwa za kunywea pombe hiyo tight kapewa na mama muuza pombe imsitiri
 
Huyo chizi anafahamika anaombagaombaga sh. 50 tu anazunguka tu hapa posta
 


Hata kama kila mtu na maisha yake.

Hii hapana
 
Hilo jamaa ni kichaa punga? Mbona lina kikuku mguu wa kulia?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…