Maisha haya kweli hakuna anayeijua kesho yake

Kashabaki mifupa kwenye shimo la hewa. Siku 103 leo tayari na walitengeneza shimo la hewa ndo kabisa.
 
Katika kuhitimisha siku miamoja ni jana tu ameanza kutonesha vidonda ambavyo kwa mbali vilikua vinaonekana kukauka. Baada ya kusema waz yakua hakuna mikutano ya kisiasa pamoja na katiba mpya baas hana tofaut na magufuli kwan hata magu alianza hivo tu ila baadae tulilia sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…