Hivi anarejea lini? Babaake na Liz?
Hivi kweli ugonjwa aliokuwa nao ulishindikana kutibiwa hapa nchini kwetu mpaka ameenda Marekani?Bado napata shida na uzalendo wetu sisi watanzania ambao tunapopata nafasi ya kuwaongoza wengine.
Kwa akili hii tunayoiona huwezi kuona tunapiga hatua kubwa katika maendeleo maana kama hatuwezi kuwekeza kwenye vitu vyetu wenyewe na kutegemea nje ya nchi,kweli uzalendo umekwisha kwa watanzania wengi.Unafikiri watu wangekula wapi? Nchi hii bwana hata wakubwa wakivimbiwa matibabu ni ulaya