Maisha bora kwa kila Mtanzania!

Maisha bora kwa kila Mtanzania!

FUSO

JF-Expert Member
Joined
Nov 19, 2010
Posts
36,455
Reaction score
45,029
Katika pitapita zangu mitandaoni nimekutana na hii kitu, Mangi akipeleka bidhaa yake sokoni. nikajiuliza je kwa style hii maisha bora kwa kila mtanzania yatafikiwa?

190644_203537239663952_5102757_n.jpg
 
hivi hii gari inatembea kweli!!!!!!!!

Au jamaa amefanya store ya kuhifadhia ndizi!!!!


MIZAMBWA
INANIUMA SANA!!!
 
Duh, babu kapata kikombe cha rafiki yake wa Loliondo. Maisha ya sisi Watanzania wa kawaida ni kizungumkuti sana. Mafisadi wanakaa kwenye ma-mansion yao ya 5 stars watoto wao wanasoma Ulaya, wanatibiwa nje kina mamsapu wanashop na kutotolea Ulaya, hela zao zipo Ulaya maziko tu ndio Bongo
 
maisha bora kwa kila mtanzania mbona ipo jamani wandugu!
Lazima ujue kuna,
Mtanzania na Mwananchi
jiulize wewe upo kundi gani ukijua huwezi kupata shida wala kuuliza maana aliadi kwa Mtanzania na sio kwa Mwananchi!
Sifa za Mtanzania;
ana visa card,kusafiri nje ya nchi wakati wowote ule,anapeleka watoto wake nje ya nchi kusoma
je wewe ni mtanzania na unaweza kuishi hivyo
wewe ni Mwananchi so tulia mtanzania ale!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom