Hebu tubandikieni ile picha ya Mbowe akila dagaa gengeni huku pembeni amepaki VX V8 la KUB.
Tuonane October...
Tuonane October...
Hapa anajifanya mwananchi aliyesalitiwa na chama chake licha ya kupokea ahadi lukuki kuwa atapata fursa yeye na watanzania wenzake. Huyu akipata ulaji tu, haya yote atayasahau na ukimbusha atakuambia "lini mimi nilibeba maji au kujenga shule vijijini, habari hizo pelekeni kwa wabunge wenu." Hiki chama ni mashetani tupu tu, toka 1961 mpaka sasa hakuna cha maana walichokifanya zaidi ya mateso na unafiki kwa watanzania.
Kwa ujinga wa watanzania wanaona haya maigizo ni ya kweli? Maana huu mwaka wa uchaguzi tutaona mbwembwe nyingi za kufariji wananchi , baada ya uchaguzi hamuwaoni tena hadi miaka mitano watarudi na style ingine. Hivi ni viini macho kabisa! I hate unafiki huu na kupumbaza watu huku. Acha watu wajionee na watafakari si kuwapumbaza na uongo huu. Lol!
Ccm bila drama haiwzekani!
Huyu bingwa ni msaniiYaani huyu jamaa kwa usanii hakuna mfano. Alafu ana mashaka, yaana baada ya kuwaibia wananchi miaka hiyo yote leo ndio anajidai ni mwenzao!
Yaani huyu jamaa kwa usanii hakuna mfano. Alafu ana mashaka, yaana baada ya kuwaibia wananchi miaka hiyo yote leo ndio anajidai ni mwenzao!
View attachment 233250 am humbled, i love this picture jamani
View attachment 233251 multi skilled, this man is like mjeshi kotekote yupo, nice one