Maisha bwana: Waliokata kuchangia harusi yangu leo hii nimeombwa niwachangie harusi yao

Mimi nakushauri kama unaweza lakini..
Nenda kwenye kikao ahidi swala la vinywaji lote gharama ni juu yako alafu endelea kuhudhuria wakianza kukudai wape calendar mwisho wa siku ingia mitini
 
Kuoa uoe wewe mchango atoe mwingine, kama huna uwezo wa kufanya harusi kubwa fanya ndogo tu kuliko kusumbuana na watu. Ingekuwa ugonjwa hapo sawa
Asante sana, kila siku watu huwa nawaambia hili. Unakuta mtu kwao moshi/bukoba anafanya kazi mbeya anang'ang'ania kufanyia harusi kubwa Dar kisa aliwahi kuishi kwa shemeji yake huko Dar. Anawachangisha hela kubwa ya harusi huko mbeya na hata mazingira ya nafasi/uchumi kwa ajili ya kwenda huko Dar hamna, yeye mwenyewe wazazi wake na ndugu muhimu anatakiwa awasafirishe kwenda huko Dar gharama kubwa balaa. Kwenye kuoa sijui watu wanapenda sana hizi gharama zisizo za muhimu.

Kwa kweli michango mikubwa ya harusi huwa inanitafakarisha sana!
 
Mimi nakushauri kama unaweza lakini..
Nenda kwenye kikao ahidi swala la vinywaji lote gharama ni juu yako alafu endelea kuhudhuria wakianza kukudai wape calendar mwisho wa siku ingia mitini
Hehehe,

Umenichekesha kwelikweli.

Watakulaumu ila hiyo ndio dawa. Usitegemee mteremko wakati huna kitu
 
Maisha bana kweli kitendawili nimeamini kweli hakuna aijuaye kesho itakuwajeee

Nina ndugu zangu hao upande wa bamkubwa miaka iliyopita wakati ninaoaa harusi yangu hakuna aliyenichangia wala aliyewahi kuhudhuria hata kikao changu kimoja cha harusi licha ya kutuma text zinyi na kupiga simu sikufanikiwa kupata sapoti ya ndugu yeyote hivyo harusi yangu nilifanya kibishi bishi mpka nikatoboaa.

Sasa baada ya miaka kupita upande ule ule wa ndugu ambao hawakunichangia wala kunipa sapoti katika harusi yangu leo hii kuna kijana wao anatarajia kufunga ndoa mwaka huu kwenye mwezi wa kumi na mbili na hadi sasa nimeshapigiwa simu na kutumiwa meseji ninayotakiwa kuhudhulia kikao cha kwanza lakini pia najua nitahitajika nitoe mchango au nitoe plide
Ya mchango.

Mpka sasa najiuliza ninaanzaje kwenda, ninaanzaje kufika, ninaanzaje kutoaa kutoa michango kwa watu ambao hawakunichangia
Mkuu, usifanye visasi wewe jitoe ufahamu uende na kingine ahadi utakayotoa iandane uwezo. Wala usioneshe dharau.
 
Ushauri wangu kwako usilipize kwa ubaya toa mchango wako ili waweze kujifunza kupitia hilo maana wanaweza wakawa wamekualika kwa kutaka kujua kilicho moyoni mwako usiruhusu ujinga utawale nafsi yako na naamini udugu wenu utaendelea vizur sana
 
Hapa nilipo nafunga ndoa mwezi wa 11 lakn ndg zangu wengi wamekaa pembeni jana nilikuwa na kikao cha nne akuna alietokea ..sikusahuari huende wala uchangeyanayonitokea nayaona
 
Maisha bana kweli kitendawili nimeamini kweli hakuna aijuaye kesho itakuwajeee

Nina ndugu zangu hao upande wa bamkubwa miaka iliyopita wakati ninaoaa harusi yangu hakuna aliyenichangia wala aliyewahi kuhudhuria hata kikao changu kimoja cha harusi licha ya kutuma text zinyi na kupiga simu sikufanikiwa kupata sapoti ya ndugu yeyote hivyo harusi yangu nilifanya kibishi bishi mpka nikatoboaa.

Sasa baada ya miaka kupita upande ule ule wa ndugu ambao hawakunichangia wala kunipa sapoti katika harusi yangu leo hii kuna kijana wao anatarajia kufunga ndoa mwaka huu kwenye mwezi wa kumi na mbili na hadi sasa nimeshapigiwa simu na kutumiwa meseji ninayotakiwa kuhudhulia kikao cha kwanza lakini pia najua nitahitajika nitoe mchango au nitoe plide
Ya mchango.

Mpka sasa najiuliza ninaanzaje kwenda, ninaanzaje kufika, ninaanzaje kutoaa kutoa michango kwa watu ambao hawakunichangia
Waepuke kabisa,hasa mambo ya vikao lakini mchango kama unao uwezo watumie. Ni hatari sana kuwa karibu na ndugu ambao yawezekana behind the scene hawakuthamini au wanakichulia kama adui.
FB_IMG_1537803461557.jpg
 
Maisha bana kweli kitendawili nimeamini kweli hakuna aijuaye kesho itakuwajeee

Nina ndugu zangu hao upande wa bamkubwa miaka iliyopita wakati ninaoaa harusi yangu hakuna aliyenichangia wala aliyewahi kuhudhuria hata kikao changu kimoja cha harusi licha ya kutuma text zinyi na kupiga simu sikufanikiwa kupata sapoti ya ndugu yeyote hivyo harusi yangu nilifanya kibishi bishi mpka nikatoboaa.

Sasa baada ya miaka kupita upande ule ule wa ndugu ambao hawakunichangia wala kunipa sapoti katika harusi yangu leo hii kuna kijana wao anatarajia kufunga ndoa mwaka huu kwenye mwezi wa kumi na mbili na hadi sasa nimeshapigiwa simu na kutumiwa meseji ninayotakiwa kuhudhulia kikao cha kwanza lakini pia najua nitahitajika nitoe mchango au nitoe plide
Ya mchango.

Mpka sasa najiuliza ninaanzaje kwenda, ninaanzaje kufika, ninaanzaje kutoaa kutoa michango kwa watu ambao hawakunichangia
Mkuu we toa tu, samehe
 
Back
Top Bottom