Maisha baada ya Uwaziri (Cheo) yanafananaje?

Valencia_UPV

JF-Expert Member
Joined
Mar 31, 2016
Posts
7,682
Reaction score
9,566
Waandishi wa habari nchini mbona mmekosa ubunifu wa kuwapa wasikilizaji/ watazamaji/ wasomaji habari za maisha ya Mawaziri wa Zamani (waliostaafu/ kutumbuliwa) kwamba maisha kwa sasa yapoje?

Mnaweza kuanza na hawa wa Karibuni.
 
... sijui yanakuwaje kwa vile sijawahi kuwa na cheo chochote maishani mwangu tangu nilipamaliza kuwa class monitor darasa la tatu miaka mingi sana iliyopita.
 
Waandishi wa habari nchini mbona mmekosa ubunifu wa kuwapa wasikilizaji/ watazamaji/ wasomaji habari za maisha ya Mawaziri wa Zamani (waliostaafu/ kutumbuliwa) kwamba maisha kwa sasa yapoje?

Mnaweza kuanza na hawa wa Karibuni.
Kitu ninawakika nacho ni simu zinapungua sana.
 
Lawrence Masha alikuwa waziri wa mambo ya ndani, na kampuni ya ndege za abiria "Fast Jet". Nauli ilikuwa 70k tu kutoka Dar mpk Mwanza.

Lkn hivi sasa Lawrence Masha amefulia kiasi kwamba imempasa kwenda kwa nabii kuombewa asife maskini.
Ungekuwa unamjua Masha kama tunavyomjua Sie, usingeropoka hivyo!
 
Akili ya bumunda ni kuwa ipo siku atarejeshwa
 
Lawrence Masha alikuwa waziri wa mambo ya ndani, na kampuni ya ndege za abiria "Fast Jet". Nauli ilikuwa 70k tu kutoka Dar mpk Mwanza.

Lkn hivi sasa Lawrence Masha amefulia kiasi kwamba imempasa kwenda kwa nabii kuombewa asife maskini.
wakati Masha anasoma chuo kikuu (UDSM ya zamani) alikuwa kijana mwema sana akijawa na maadili na heshima ya hali ya juu sana
 
Ila ikiwa Waziri Hata wiki moja bado ukabaki maskini. umetaka mwenyewe.
 
Hakuna anaekupigia simu tena...kwenye magroup ya waheshimiwa ya whatsapp unatolewa fasta.
 
Waandishi wa habari nchini mbona mmekosa ubunifu wa kuwapa wasikilizaji/ watazamaji/ wasomaji habari za maisha ya Mawaziri wa Zamani (waliostaafu/ kutumbuliwa) kwamba maisha kwa sasa yapoje?

Mnaweza kuanza na hawa wa Karibuni.

Aiseee.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…