Msarendo JF-Expert Member Joined Jan 29, 2011 Posts 10,888 Reaction score 7,079 Nov 28, 2015 #21 Hana jipya huyoo
Basi Nenda JF-Expert Member Joined Jul 29, 2017 Posts 20,789 Reaction score 47,985 May 25, 2018 #22 Sir_Mimi said: Huyu mkwere hii ndo kazi iliyokuwa inamfaa sio kuja kutuharibia nchi yetu. Click to expand... Vipi nchi yenu saivi ina hali gani ?
Sir_Mimi said: Huyu mkwere hii ndo kazi iliyokuwa inamfaa sio kuja kutuharibia nchi yetu. Click to expand... Vipi nchi yenu saivi ina hali gani ?
Unsub Senior Member Joined May 4, 2018 Posts 113 Reaction score 113 May 25, 2018 #23 lucas mobutu said: Vipi nchi yenu saivi ina hali gani ? Click to expand... Imeona eeh. Watu hawakuacha akiba ya maneno
lucas mobutu said: Vipi nchi yenu saivi ina hali gani ? Click to expand... Imeona eeh. Watu hawakuacha akiba ya maneno
Sir_Mimi JF-Expert Member Joined Jun 21, 2013 Posts 7,207 Reaction score 15,880 May 25, 2018 #24 lucas mobutu said: Vipi nchi yenu saivi ina hali gani ? Click to expand... ........Mkuu unanionea haya kweli yalikuwa maneno yangu ila angalia na wakati nilipoyaongea. Wote tupo ktk dilemma hatukutegemea haya anayoyafanya Ngosha yaani imekuwa kama surprise.
lucas mobutu said: Vipi nchi yenu saivi ina hali gani ? Click to expand... ........Mkuu unanionea haya kweli yalikuwa maneno yangu ila angalia na wakati nilipoyaongea. Wote tupo ktk dilemma hatukutegemea haya anayoyafanya Ngosha yaani imekuwa kama surprise.
Basi Nenda JF-Expert Member Joined Jul 29, 2017 Posts 20,789 Reaction score 47,985 May 25, 2018 #25 Unsub said: Imeona eeh. Watu hawakuacha akiba ya maneno Click to expand... .watu walikua na higher expectation kwa jiwe
Unsub said: Imeona eeh. Watu hawakuacha akiba ya maneno Click to expand... .watu walikua na higher expectation kwa jiwe
Basi Nenda JF-Expert Member Joined Jul 29, 2017 Posts 20,789 Reaction score 47,985 May 25, 2018 #26 Sir_Mimi said: ........Mkuu unanionea haya kweli yalikuwa maneno yangu ila angalia na wakati nilipoyaongea. Wote tupo ktk dilemma hatukutegemea haya anayoyafanya Ngosha yaani imekuwa kama surprise. Click to expand... Hahaha.mkuu inabidi utubu sasa.haraka mno
Sir_Mimi said: ........Mkuu unanionea haya kweli yalikuwa maneno yangu ila angalia na wakati nilipoyaongea. Wote tupo ktk dilemma hatukutegemea haya anayoyafanya Ngosha yaani imekuwa kama surprise. Click to expand... Hahaha.mkuu inabidi utubu sasa.haraka mno
fesee JF-Expert Member Joined Dec 8, 2016 Posts 854 Reaction score 852 May 25, 2018 #27 Wakuu mbona nikikogin jamiiforum kwa kutumia application sipati kuona kitu na inainyesha hakuna kitu ni empty
Wakuu mbona nikikogin jamiiforum kwa kutumia application sipati kuona kitu na inainyesha hakuna kitu ni empty
jozzeva JF-Expert Member Joined Oct 27, 2012 Posts 2,193 Reaction score 1,832 May 25, 2018 #28 Chapa Nalo Jr said: Natamani wataifishwe tu under Proceed of Crime Act. Click to expand... Hiyo sasa kazopata,kazozenga.
Chapa Nalo Jr said: Natamani wataifishwe tu under Proceed of Crime Act. Click to expand... Hiyo sasa kazopata,kazozenga.
mjumbe wa bwana JF-Expert Member Joined Sep 19, 2016 Posts 5,282 Reaction score 6,162 May 26, 2018 #29 Sir_Mimi said: ........Mkuu unanionea haya kweli yalikuwa maneno yangu ila angalia na wakati nilipoyaongea. Wote tupo ktk dilemma hatukutegemea haya anayoyafanya Ngosha yaani imekuwa kama surprise. Click to expand... hii comments yako imenikata usingizi kabisa
Sir_Mimi said: ........Mkuu unanionea haya kweli yalikuwa maneno yangu ila angalia na wakati nilipoyaongea. Wote tupo ktk dilemma hatukutegemea haya anayoyafanya Ngosha yaani imekuwa kama surprise. Click to expand... hii comments yako imenikata usingizi kabisa
mjumbe wa bwana JF-Expert Member Joined Sep 19, 2016 Posts 5,282 Reaction score 6,162 May 26, 2018 #30 fesee said: Wakuu mbona nikikogin jamiiforum kwa kutumia application sipati kuona kitu na inainyesha hakuna kitu ni empty Click to expand... uli accept rule zao mpya
fesee said: Wakuu mbona nikikogin jamiiforum kwa kutumia application sipati kuona kitu na inainyesha hakuna kitu ni empty Click to expand... uli accept rule zao mpya