OK. Lini unaanzisha mampyaHahaha huwezi kunielewa hata nikikuelezea kwa hiyo tuyaache yabaki hivyo hivyo
Sent using Jamii Forums mobile app
*tanuruHa ha ha...walikuwa watu wrong kinoma, ndo maana now nimepata tulizo!
Ili iwe dhahabu ni lazima ipitie kwenye tanuri
Sent using Jamii Forums mobile app
Loooh! Ndio ulichokuwa unamaanishaaaa... At least I can breath now
Kuuumbe hukunielewa?Loooh! Ndio ulichokuwa unamaanishaaaa... At least I can breath now
Sent using Jamii Forums mobile app
Haha sio ya jana. Hiyo jana ilikuwa ni msisitizo tuNo sijashangaa, nilichoshangaa ni duration
Sikuwaza kabisa kama ishu yako imetokea jana, only this
Sent using Jamii Forums mobile app
Eeeee.... Niliona vice versa..... But always kuvunjika kwa koleo si mwisho wa uhunzi na safari moja huanzisha nyingine
She is very bright. She is trying to put you off my niggle. How are you by the way??
Khantwe akikujibu ni-beep
Hahahaha. Jamani jamani
Dalili za makavu laivu
Hahahahahahaahah! You still have a chance bruh, she isn't bookedLoooh! Ndio ulichokuwa unamaanishaaaa... At least I can breath now
Sent using Jamii Forums mobile app
Umempandisha mwenzio presha