Maisha baada ya kuachwa

He wiki mbili ndo unafikiri kwamba anaona umuhimu wako?
 
Mtoa mada umesema zimeisha wiki mbili? Bado, kitakuja kipindi cha kummisi huyo fala utakuwa unatamani umpigie ila ukipita hapo umeshavuka. Am going through the same shit right now

Sent using Jamii Forums mobile app
Mimi mwanzo nilikua hivyo,,,baadaye nilivyofanikiwa kuondoka ndo ikawa Basi Tena

It is just a matter of time...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sometimes kupenda Ni Kama utumwa
Unaweza kuwa km mjinga...
Kipindi Cha mpito baada ya kuachana Ni kigumu Sana,,but time heals everything
Itafika muda unajikuta umependa Tena,nguvu ya mapenzi ya ajabu sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…