Hahaha nimemuita fala huyo mwanaume wa mtoa mada maana sio kwa kumrusha huko mwenzie kichurachura.You never told me that!!!! and wait a minute, did you just called him "fala"?
Please let me know if there is a way I can help
Looking forward to hearing from you. Private though
[emoji23]Khaaa!
Mpango wako ni kuninyima nini?[emoji23]
Babu shkamoo
Kwani unataka kuniomba nini babu yangu?Mpango wako ni kuninyima nini?
Ushasahau babu na mjukuu ni wachumba?Kwani unataka kuniomba nini babu yangu?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ushasahau babu na mjukuu ni wachumba?
Na hii mvua huioni?
Usijali amesafiri. Siku nne atakuwa kwenye unajimu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Babu bibi akipita huku sijui hata nitamwambia nini
[emoji2222][emoji2222][emoji2222][emoji2222]
Ulitumia akili kubwaHaha hata usinipe pole maana nilitengeneza mwenyewe mazingira ya kuachwa... Niliona mahusiano hayawezi kuenda popote kupotezeana muda
Sent using Jamii Forums mobile app
Ebwana eeeh!...mbona muda umesonga sana![emoji44]Mimi mpaka anaoa ndo nikaamini kweli nimeachwa. Tangu2016 mpaka leo sitamani mwanaume.
Sent using Jamii Forums mobile app
I want to be your crying shoulder pleaseeeMtoa mada umesema zimeisha wiki mbili? Bado, kitakuja kipindi cha kummisi huyo fala utakuwa unatamani umpigie ila ukipita hapo umeshavuka. Am going through the same shit right now
Sent using Jamii Forums mobile app
It is my special offer...ikisindikizwa na wimbo wa Fifth Harmony- Dont say you love me.