Maisha baada ya kuachwa

Kuachwa au kuacha mwanaume,,,au mwanamke asiye na malengo haiumi but kuachwa au kuacha mwanaume au mwanamke mwenye malengo it's very painful!!! Salute kwenu wenye mahusiano ya malengo be blessed shikilieni hapo


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hongera kwa mwanzo mzuri wa kutambua thamani yako

Lakini wiki 2 ni mapema sana kushangilia ushindi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
point out

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mwenzangu bado ana ujana mwingi. Haeleweki yani. Ukiongea nae unajua kabisa huyu ni comfused man. Nikamwomba tuweke malengo na tuheshimiane ndio kisa cha kunikimbia
Sababu ndio hiyo tu!

Maana kwa jinsi ulivyokuwa unamuomba misamaha ni kama vile kuna jambo la undani zaidi ambalo hutaki kufunguka.

Au kuna jambo zito ulimfanyia, ulimtendea?
 
Sababu ndio hiyo tu!

Maana kwa jinsi ulivyokuwa unamuomba misamaha ni kama vile kuna jambo la undani zaidi ambalo hutaki kufunguka.

Au kuna jambo zito ulimfanyia, ulimtendea?
Serious hakuna kitu nilichomtendea. Nimekua nae kipindi anaumwa, nimemjali kipindi hana lolote wala chochote. Lakini naona upole wangu ulimpa kiburi. Anaweza akaniblock 3 days sielewi kosa langu. Najishusha tu yaishe. Naweza omba msamaha mwenyewe sielewi kosa langu. Siku nilimuuliza uwa anapatwa na nini, mbona akipata pesa anakua tofauti. Akasema itakua ni ulimbukeni coz hakuna mbaya nimfanyiacho ingawa akinifanyia hayo uwa ananikumbuka sana kisha anasubiri nimuombe msamaha ndipo anarudi kwa gia hiyo.
 
Nimekuelewa sana MDAU.

Ahsante sana kwa kunifungukia kwa kina.

Pole kwa MADHILA yaliyokukuta.

Ubarikiwe sana
 
Niliwahi achwa mara moja tu na iliniuma sana, mara ya pili nikataka kuachwa nikajifanya mjinga kwisha kazi nikapona ila sikumuamini kabisa,ikatokea nikampata mpya kabisa tena bomba kuliko, hapo ndo alijua mbivu na mbichi mpaka leo najiuliza nilitaka nini pale. sintokaa nimuwaze zaidi ya hii post.
 
Duh
Duh! Poleee aisee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…