Sitachoka
JF-Expert Member
- Nov 17, 2011
- 3,030
- 1,306
Kama mmefanya mpango wa kuiba
computer ili kuficha uchafu wenu,
mnajidanganya!! katika mfumo wowote wa computer, haswa
kwa taasisi kubwa kama nyie ni lazima kuwe na back-up server. means data na transaction zote zinazofanyika kila siku huhifadhiwa sehem tofauti ili pakitokea disaster/emergency yoyote iwe rahisi ku-
recover na kuendelea pale kazi ilipoishia.
client machine imeibiwa!!? so what?
Uchunguzi wa utendaji ndani ya TRA uendelee kufanyika kwa kutumia back-up server!! No Apology on that.
Kwa waliohusika na uvunjwaji, hao ni dagaa tu…. watafutwe, wakamatwe na washughulikiwe na sheria kama wamekosea watu milioni 45, Point of investigation ianzie hapa:
1. Wenye ofisi.
2. Wafanyakazi wenyewe.
3. Walinzi.
TRA ni ya watanzania! Kuibiwa kwa
computer hapajaharibu kitu. kama
mlilikoroga, linyweni!!!!
Wakati mnatubadilishia Range Rover Evoque, BMW, Mercedez Benz n.k. mlidhani hayataisha?