Nimekutana na tamthilia hapa ITV haki ya nani hadi kichefuchefu yaani full mkorogo mpaka chukizo!! Sijui inaitwa "Kimya Milele?" Hivi wanawake hawana mshipa wa aibu?
Mimi hakuna jambo linanishangaza kwa wanawake kama kunyoa nyusi then wakazichora sijui kwa wanja sijui kwa piko.
Yani mimi uwa naona wanakuwa na sura kama ya fisi sijui kama wenzangu uwa mnaona wamependeza