Mkami Lum
JF-Expert Member
- Feb 23, 2013
- 414
- 96
Mambo wanajamvi,
Muda huu tupo kwenye kajimkutano kalikokosa watu hapa Bugarama ikiwa ni kama njia ya kuomba ridhaa kwa Mh. Ezekiel Mahige.
Kuonesha hakubaliki ndani na nje ya chama mkutano huu umekosa wadau.
Mkutano unacheleweshwa kutokana na idadi ndogo ya wananchi.
Zipo taarifa kuwa kunawagombea zaidi ya 7 watakaosimama kugombea ndani ya jimbo hili kutoka CCM, nao wapo hapa