mahusiano

Parasite

JF-Expert Member
Joined
Aug 20, 2013
Posts
613
Reaction score
580
sio wazo ila ni muhimu kujua kimtazamo wako je!ni sahihi msichana kukufwata nakukueleza hisia zake??yaani wanasema kutokewa.toa hoja za msingi zinazo onyesha tofauti ya ubora wa mahusiano yaliyoanzishwa na mmoja kati ya mvulana au msichana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…