Kikubwa ni mawasiliano kati yenu ke na me,uzoefu niliopitia ni kwamba sisi wanaume ndo tunaweza
kujizuia kufika kileleni kabla ya wenzetu wanawake, sababu wanawake huchelewa kufika;ukimudu hilo wala hakuna presha tena;ndo kama nilivyosisitiza mawasiliano na mwenzako ndo muhimu,usipeleke mambo kwa utashi wako peke yako.
Yaani ukiwa fundi mbona bao moja tu tosha?,labda kina dada wan wazo tofauti.