V veronice New Member Joined Feb 7, 2013 Posts 3 Reaction score 0 Feb 7, 2013 #1 mi nna swali tu naomba mchango wenu?hivi ukihisi mwenzi wako wa ndoa anacheat inastahili uchukue maamuz gan?
mi nna swali tu naomba mchango wenu?hivi ukihisi mwenzi wako wa ndoa anacheat inastahili uchukue maamuz gan?
charger JF-Expert Member Joined Nov 21, 2010 Posts 2,320 Reaction score 1,374 Feb 7, 2013 #2 Tukiishi kwa hisia mbona tamalizana mkuu
Mgariga Senior Member Joined Apr 1, 2011 Posts 178 Reaction score 63 Feb 7, 2013 #3 veronice said: mi nna swali tu naomba mchango wenu?hivi ukihisi mwenzi wako wa ndoa anacheat inastahili uchukue maamuz gan? Click to expand... Kwa nn uhisi inaonesha ni jinsi gani hamuaminiani
veronice said: mi nna swali tu naomba mchango wenu?hivi ukihisi mwenzi wako wa ndoa anacheat inastahili uchukue maamuz gan? Click to expand... Kwa nn uhisi inaonesha ni jinsi gani hamuaminiani
HorsePower JF-Expert Member Joined Aug 22, 2008 Posts 3,612 Reaction score 2,569 Feb 7, 2013 #4 veronice said: mi nna swali tu naomba mchango wenu?hivi ukihisi mwenzi wako wa ndoa anacheat inastahili uchukue maamuz gan? Click to expand... Fanya uchunguzi, ila wakati huo usimchukie wala kumnyanyapaa maana taarifa zinaweza kuwa ni za uzushi ...
veronice said: mi nna swali tu naomba mchango wenu?hivi ukihisi mwenzi wako wa ndoa anacheat inastahili uchukue maamuz gan? Click to expand... Fanya uchunguzi, ila wakati huo usimchukie wala kumnyanyapaa maana taarifa zinaweza kuwa ni za uzushi ...
Evelyn Salt Platinum Member Joined Jan 5, 2012 Posts 78,447 Reaction score 170,739 Feb 7, 2013 #5 veronice said: mi nna swali tu naomba mchango wenu?hivi ukihisi mwenzi wako wa ndoa anacheat inastahili uchukue maamuz gan? Click to expand... Ukihisi unatakiwa uchukue maamuzi ya kuchunguza!!!
veronice said: mi nna swali tu naomba mchango wenu?hivi ukihisi mwenzi wako wa ndoa anacheat inastahili uchukue maamuz gan? Click to expand... Ukihisi unatakiwa uchukue maamuzi ya kuchunguza!!!
ummu kulthum JF-Expert Member Joined Feb 6, 2012 Posts 2,784 Reaction score 1,317 Feb 7, 2013 #6 hisia mbaya ni adui namba moja katika mapenzi,vunja ukimya sema nae