Jambo la muhimu mkubwa ni mapenzi ya kweli. Kiutamaduni tulivyozoea mama mtu mzima kubeba yankee inasound ndivyo sivyo, haba dingi mtu mzima kuchukua SIDANGANYIKI bado haisound safi. But all in all true love sounds!
Unapozungumzia mahusiano wacha mimi ni quote in terms za ndoa..... maana hayo mengine sio rasmi.
Katika maisha lazima mmoja awe mkubwa na kiongozi wa familia, sasa na by default aliye mkubwa ndiye atakayekuwa kiongozi wa familia (e.g baba wa nyumba akifa mtoto wa kwanza mostly wa kiume ndo anakalia kiti cha baba ki maamuzi)
Sasa Mwanaume akiwa mkubwa atapata heshima yake ya kuwa kiongozi wa familia, ila akiwa mdogo kwa mwanamke ategemee tu dharau na kuendeshwa kwani hatokuwa na sauti.