MAHUSIANO YA MBALI

Io haiingii akilini. Mapenzi ni kuonana, ukionana na mtu mkaongea kuusu penzi lenu, hayo ndo yanakua mapenzi, sio hivyo unavyosema. Hizo ni Drama
 
Umekaa kama kaahaba
 
Yes it is possible but both participants need to be very disciplined, with technology it is so easy to communicate for so many hours during the day/week depending on their availability.

Kwani hakuwezi kuwa na mapenzi kwa watu ambao hawajawahi onana?? I mean they have been dating for the whole year or so
 
Wewe upo Kinondoni, yeye yupo Malampaka, hapo ni shida.
Lakini wewe upo Kinondoni, yeye yupo Queens, NY, hakuna shida hapo.
 
Yes it is possible but both participants need to be very disciplined, with technology it is so easy to communicate for so many hours during the day/week depending on their availability.
True broo
 
Reactions: BAK
"Pale Ng'ombe wako kapotelea mikumi na huna hofu ukijua atarud kisa tua unisikiaga sauti yake kwa mbal" said by Rodrigo Rodrigues Agustinos Hermano
 
Mahusiano yawe ya mbali au ya nyumba moja kulala na kuamka pamoja kinachohitajika ni mawasiliano hai muda wote na uaminifu, hapo lazima mudumu maisha yenu yote.

Siyo kila ushauri humu uuchukue utakuharibia Mahusiano yako.
Wewe muhusishe Yesu kwenye jambo lako hutajuta milele.
NB:
Kuna wanaume wametulia na waaminifu, pia kuna wanawake waaminifu na wametulia, kwahiyo hata huyo unayewasiliana naye anaweza akawa mtu sahihi kwako, umbali siyo tatizo bali wahusika wenyewe ndiyo wakuwaga tatizo. Simamia kile unachoamini mpaka kuongea kwenye video.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…