Mahusiano ya Kimataifa

Sasa mnarusha rusha miguu yanini pamoja na Waziri wenu?
 
Tulia iingie vzr
Ushazoea kuingiziwa nini?

Wenzako wako wanaangaika na mjadala uliojaa wakenya watu wanaodai wana wapigania watanzania hawana muda nao.

Lissu I was shot 16 times
 
Sikiliza mungu alivyokuwa mkubwa wanaropoka mipango yao live, huku wakidhani wamezima.

Huyo wakenya anamkumbusha Lissu yeye ndio aliomfundisha kuuliza maswali.

Ni wehu kama nyinyi ndio mnaomwamini Lissu.
 
Hovyo kabisa
Lissu karopoka kumbe kwenye mjadala kawafundisha wachangiaji maswali ya kuuliza.

Ndio mambo hayo hayo anayomtuma Amsterdam aandike huko Twitter halafu poyoyo kama wewe unashangilia.
 
Lissu karopoka kumbe kwenye mjadala kawafundisha wachangiaji maswali ya kuuliza.

Ndio mambo hayo hayo anayomtuma Amsterdam aandike huko Twitter halafu poyoyo kama wewe unashangilia.
Shida zimekujaa na CCM yako
 
Shida zimekujaa na CCM yako
CCM ndio iliyomwambia aropoke pia leo akidhani washatoka kwenye YouTube channel?

Now we know ‘Najma’ huyu dada aliekuwa moderate wa mjadala ambao ni ‘pre-meditated’ ni sehemu ya watu wanaotumiwa na mabeberu wana fungua tu mtandao wao wa siri. Ila bwana God kweli ana mbinu zake.

Time waster, laters.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…