Reagan Carima
Member
- May 20, 2015
- 44
- 194
Inahuzunisha sana.Mfaulme Sulemani aliambiwa na MUNGU omba lolote utakalo nitakupa akaomba hekima na busara kitu ambacho watawala wetu hawana hata kidogo
Na inaumiza sana.Inahuzunisha sana.
Kw
Kwa khali tuliyonayo kwa sasa baada ya Uchaguzi wa Oct, 28 Mahusiano hapa Ndani ni shagarabagara tunaishi kinafiki tu hakuna Maelewano ya maana.
Kwa nje napo Tunaanza Kujitutumua eti sisi ni Taifa huru, eti Nyerere aliwadindia Wazungu, na leo tunawaza pia kuwadindia; Sisi eti ni DONA CATILII. Ni swala la Muda tu Kutakuja kujua wapi tumechemsha. Mzungu anayetusaidia hata dawa za malaria, viandarua na ARV, leo tunamkalipia Tumekwisha. Siku zote Muda ni rafiki wa kweli.
JK aliweza sn mahusianao ya kimataifaKwa khali tuliyonayo kwa sasa baada ya Uchaguzi wa Oct, 28 Mahusiano hapa Ndani ni shagarabagara tunishi kinafiki tu hakuna Maelewano ya maana. kwa nje napo Tunaanza Kujitutumua eti sisi ni taifa huru, eti nyerere aliwadindia Wazungu, na leo tunawaza pia kuwadindia; Sisi eti ni DONA CATILII. Ni swala la Muda tu Kutakuja kujua wapi tumechemsha. Mzungu anayetusaidia hata dawa za malaria, viandarua na ARV, leo tunamkalipia Tumekwisha. Siku zote Muda ni rafiki wa kweli...
Mnalalamika nini nyie dona kantrii?Kabudi alikuwa anaongea na waandishi wa habari kuwataka kutimiza wajibu wao. Wasiache wale jamaa wa jamii wa Twitter (wahuni wachache; Amsterdam, Zitto, Maria Sarungi, Fatma Karume na genre lao) waendelee kuaminisha wananchi kama vile Tanzania bado ni koloni la mabeberu wakati ni sovereign state yenye maamuzi yake.
Kama ni misaada yenye masharti ya ovyo nchi aiwezi tishiwa kufanya maamuzi yake waandishi waelewe hilo.
Lengo ni audience yake (waandishi) wasikae kimya kwenye upotoshwaji unaofanywa na wahuni wachache Twitter.
Duh ila JF post za CDM zimeenda potosha speech nzima, na ndio hiki Kabudi was addressing upotoshaji. Hii trend inazidi kukuwa as days go na wahusika wanaona sifa kweli.
JK aliweza sn mahusianao ya kimataifa
Hakuna kulichopotoshwa!Kabudi alikuwa anaongea na waandishi wa habari kuwataka kutimiza wajibu wao. Wasiache wale jamaa wa jamii wa Twitter (wahuni wachache; Amsterdam, Zitto, Maria Sarungi, Fatma Karume na genre lao) waendelee kuaminisha wananchi kama vile Tanzania bado ni koloni la mabeberu wakati ni sovereign state yenye maamuzi yake.
Kama ni misaada yenye masharti ya ovyo nchi aiwezi tishiwa kufanya maamuzi yake waandishi waelewe hilo.
Lengo ni audience yake (waandishi) wasikae kimya kwenye upotoshwaji unaofanywa na wahuni wachache Twitter.
Duh ila JF post za CDM zimeenda potosha speech nzima, na ndio hiki Kabudi was addressing upotoshaji. Hii trend inazidi kukuwa as days go na wahusika wanaona sifa kweli.
JK utamlinganisha na huyu mchunga ng'ombe?huyo aliyetukwanwa na kagame,mkamcheka hajitambui????
Wanafurahia sn kuona wenzao wanashinda mahabusu huku wao wamelala na wake zaoHakuna kulichopotoshwa!
Wakisema musiumize wenzenu, mufuate demokrasia, ni mabeberu.
Wa
Nani analalamika we subiri Zoom press conference ya Zitto na Lissu kama ujapewa log in ID itafute; wengine tushawachoka au losers.Mnalalamika nini nyie dona kantrii?
Wajumbe 5 kati ya 71 ya wanakamati walioashiri ni 8% ya kamati nzima. Waliobaki 92% ya wana kamati hawakuona umihumu ata wa kuwasha computer kujadili maswala ya uchaguzi Tanzania (wapo majumbani sasa hivi kutokana na COVID) let alone hilo swala alijajadiliwa kwenye bunge lao.Hakuna kulichopotoshwa!
Wakisema musiumize wenzenu, mufuate demokrasia, ni mabeberu.
Wa
Mustakabali wa taifa ? Kina Kabudi na genge lake wao wanaangalia mustakabali wa matumbo yao na familia zao .Hivi hakuna wakati wanasiasa wanaweza kuongea kama Watanzania wakaachana na vyama vyao kwanza?
Inanishangaza sana masuala nyeti kama ushirikiano wa Kimataifa watu wanayajadili kwa mtanzamo mmoja wote kisa tu ni chama fulani.
Kuna mfano wa Taifa gani ambalo limewahi kupiga hatua kwa kugombana na majirani kisa tu wanajiweza?
Masuala haya kwanini yasingepewa hadhi yake na yakajadiliwa kwa hekima na busara zaidi kwa ajili ya mustakabali wa Taifa letu na vizazi vijavyo?
JK utamlinganisha na huyu mchunga ng'ombe?