Mahusiano sio rahisi hivyo

Kwaiyo nimfate kila anapoendaa… yupo huko kwasababu ya kikazi
ishi na mpenzi wako karibu. kama yupo mbali sana na wewe huyo sio mpenzi wako peke yakoo.

kama huna malengo nae basi unweza ku hang nae hivyo lakin usiji promise kitu hapo.
 
Akikuacha njoo kwangu na Mimi nikugongegonge kisha nikuache uendelee kukua mpaka unakua utakua ushagongwagongwa na list ndefu

Uzuri mbinguni tutapewa miili mipya

Halafu kwani ikiwa list ndefu unakufaa au natembea uchi kusema watu wataniona nione aibu[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Stress za kugongwa kila mda Jamaa anataka Mechi unafikiri kwanini stress zisipande

Natamani ingekuwa hivyo best ila mwaka mzima ni Ka moja tu [emoji23][emoji23][emoji23]
 
ishi na mpenzi wako karibu. kama yupo mbali sana na wewe huyo sio mpenzi wako peke yakoo.

kama huna malengo nae basi unweza ku hang nae hivyo lakin usiji promise kitu hapo.

Sawa kwaiyo nitafute mwinginee

Mimi sijawah kuwa na mahusiano ya karibu na sitakii nayataka haya haya ya mbali kila mtu awe huru
 
Sasa tunashindwa kuelewa ulisha achwa na umepata mpnzi mpya umeanza kumpenda. Sasa stress zinatoka wapi tena😆😆😆🤣
 
Sasa tunashindwa kuelewa ulisha achwa na umepata mpnzi mpya umeanza kumpenda. Sasa stress zinatoka wapi tena[emoji38][emoji38][emoji38][emoji1787]

Natakiwa kumuacha huyu ndio nina stress
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…