Mahusiano sio rahisi hivyo

Bado ujanjibu umri

Huyo alikuwa hakupendi
 

Naona unachukua vitu vidogo vidogo unajazia nyama

Kama ungekuwa mwalimu basi ningesema ni wale walimu wanoko ambao akiingia darasani kuna mwanafunzi wake lazima amuadhibu hata kama hakufanya kosa

Btw mimi ni mdada kibailojia
 
Mbona simpo like ABC
ukikua utaacha hayo kuumizwa😎
 
Mhhhhhh.....
Mbona kama ulisha piga hatua 3 mbele, na kisha ukarudi hatua 5 zingine nyuma...[emoji848]
Ama mimi ndio sihaelewa...[emoji847]

Kumpata anaekupenda ni ngumu hivyo nimempata anaenipenda na mimi najitahidi kumpendaa
 
Naona unachukua vitu vidogo vidogo unajazia nyama

Kama ungekuwa mwalimu basi ningesema ni wale walimu wanoko ambao akiingia darasani kuna mwanafunzi wake lazima amuadhibu hata kama hakufanya kosa

Btw mimi ni mdada kibailojia
Sawa.
 
Anakupenda au unampenda?
Ni rahisi kujua unaempenda ila kujua anaekupenda n mtihani.

Mimi nahisi nimeanza kumpenda… si umeona nimesema imenichukua muda mrefu kumpendaa…. Sijui yeye ila kwa anayonionesha najihisi napendwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…