bongo dili
JF-Expert Member
- Feb 13, 2015
- 12,343
- 25,329
NiajiriSina mtu zaidii ya kaka yangu
Mwamba anapiga shooDada yetu kafa kaoza kwa mwamba
He is the best au sio!!Hakuna alichoshindwaa tena huyu ni the best kwanza Ex wangu hata vocha hajawai kunipa huyu wa sasa ananijali Hakuna nachohitaji nakosa tena anafanya bila kuambiwa he is the best
Anamkunja anakunjika vizuri, anafika na kugusa zaidi pale alipoishia ExMwamba anapiga shoo
Kampata mtaalamu wa kumpakaza jasho vizuriAnamkunja anakunjika vizuri, anafika na kugusa zaidi pale alipoishia Ex
Anamkunja anakunjika vizuri, anafika na kugusa zaidi pale alipoishia Ex
Na kashakolezwa akakolea kazi anayoKampata mtaalamu wa kumpakaza jasho vizuri
Huna haja ya kumfata ila jiandae kisaikolojia hapo ulipo ni salama kwa unachopenda ila si salama kwa afya ya moyo wako.
Bikra??? Kwamba hujawai zagamuliwa?[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] bado bikra
Unampa yote ?
Bikra??? Kwamba hujawai zagamuliwa?
Una hoja muhimu but leo naomba niwaambie neno.Kusema ule ukweli kuachana na mtu ni kazi sana maana itakuchukua muda kumpata mwingine ambae atakupa Furaha na amani
Mwaka 2021 niliachwa muacho safi kabisa yule jamaa aliniandikia sms moja tu
“ Ukikua utajua namna ya kuzungumza na mwanaume sasa hivi utoto unakusumbua”
Ni katika mahusiano niliyoyaamini sana maana kijana alikuwa mkubwa kwangu then alikuwa ananinichukulia kama mdogo wake…. Nilimbembeleza wiki nzima anisamehe ila hakukubali… nikajiapiza tarehe 2/2/2021 ndio mwisho wa kumbembeleza kuomba asiniache kweli jamaa akakataa kunisamehe na Mimi tangu hapo nikafuta kila kitu chake sikumtafuta mpk Leo hii
Nashukuru huwa sibaki single nakaa muda mfupi sana naingia mahusiano mapya… basi ndio katika huku na huku nikakutana na mpzn wangu wa sasa imenichukua mwaka na miezi mpk kumpenda na kuwa huru kwake
Niseme ni moja ya mahusiano ambayo nimekuwa huru Sanaa… sina uoga wa kuzungumza pale anaponikwaza nasema kile nachojisikia kusema… amekuwa kama rafiki kwangu simfichi chochote kunihusu
Niwaambie tu kuliko kuachana ni bora kutengeneza mkaanza upya ni ngumu kumpata mtu wa kuanzA mahusiano mpk mkazoeana
Nipo na stresss jamani
Kampata mtaalamu wa kumpakaza jasho vizuri
Una umri gani? Nijibu hata pmNa yeye pia ana haki ya kupendwa
Nikwambie tu ukweli hili ndilo penzi la kwanza la mimi kujiona napendwa tangu nikuwe mkubwa
Hebu pitia nyuzi za nyuma kuna mchaga nilikutana nae mimi ndio nilimpenda nahisi alinisumbua sana… sasa hivi nakula mema ya nchi
Niombee tu mwisho uwe mzurii
Una hoja muhimu but leo naomba niwaambie neno.
Wabongo hatujui thamani ya MAPENZI tunajali ngono zaidi.
Ukimkosea mpenzi kidogo anaweza kuropoka tu wanawake ni wengi au wanaume ni wengi.
Ukweli ni kwamba wanaume/wanawake ni wengi lkn mpenzi ni mmoja.
Kujivunia sura/mali kama kivutio kwa yeyote ni ushamba na kutokujua nene MAPENZI.
Ukimpata mtu sahihi hskikisha kwa gharama yoyote unamlinda asikuponyoke
Na mim na mabikra ni dam damNdio mkuu[emoji13]
Una umri gani? Nijibu hata pm
Alikusumbua na nini ukitoa ubahili wake?