Mahusiano sio rahisi hivyo

Mwanaume hachungwiii… hata tukiwa karibu haisaidiii

Anyway kazi yake inafanya tuwe mbali kila baada ya mwezi ndio twaonana…maana hata bro anakaa mbali na familia
Sio mwanaume, sema mtu mzima hachungwi.

Ndio nakuambia huo umbali sio salama kwako usipoelewa uhalisia utakuelewesha
 
Mdogo angu nakiri kusema ndo unakua kua..
Usijali lakini itafikia muda utakaa pahali penyewe pa ukubwa..
Now bado bado.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…