Clueless14
JF-Expert Member
- Aug 27, 2014
- 3,118
- 4,783
OK WEWE UNATAKAJE?,KAMA HUNA PESA WEWE NI BOYA TU KENGE WEWE AU VIPI? OOH MAPENZOI SIKU HIZI HAYADUMU OOOH WATU WANA BREAK UP OOOH MAPENZI KIZUNGUZUNGU,WEEE VIPIIIII?SISI WANAWAKE TUNATAKA PESA NA SIO MBOOO AU VIPI? MBOOO NI SUSAGE KULA WEWE NA WAZAZI WAKO WALIOKUZAA.
Heee mbona hasira??
Si ungepita tu ndugu kama umekereka sana?[emoji15]
napata tabu sana kuona kila uchwao rafiki zangu wana break up na wapenzi wao, n kama mahusiano siku izi yamekua kitu flani chepesi kuwa u can just forget and move on kudate mtu mwingine. kwa watu wengi wanaachana wanaenda kudate mtu mwingine wanakuta kule kuna changamoto zaidi au afadhali alikotoka anaanza kumsumbua ex wake, au anataka kurudi kwa ex wake ila anaona kama akimwambia n kama ataonyesha weakness ivi.
lakin mwisho wa siku anakuja kusema inakua too late Nmeona ii trend inajirudia kwa watu wangu wa karibu na me pia n mhanga wa ii kitu, Najua kuna deal breakers kene mahusiano, tusiwe sana negative na wapenzi wetu wao n binadamu pia, binafsi naumia sana kuona watu wanapendana bado lakin kila mtu anajustfy mapenzi hayawezekani tena (labda nmekua so naingalia picha ya mbali zaidi).
na tunavozidi kudate na kuachana sometimes tunaongeza emotional baggage yan huko ndo zile imani zako chafu kuhusu wanaume/wanawake zinaongezeka. No body is perfect, we are all work on progress, love grow with time.
Tukubali kusamehe na kuomba msahama, hasira hasara, lets not let our Ego make most of us, mwisho wa siku wote tunajenga nyumba moja tusiishi kwa kukariri kwa kuangalia mahusiano kama black and white...
Ii haiwahusu wazee wa short course au wazee wa one night stand au wale wazee wa kutest ( pump and dump) ni kwa wale ambao kuwa kene mahusiano inamaanisha unakua commited na mtu possibly kuoana.
ukiendesha gari la mtu sharti uwe makini kuliko mmiliki
marhabaaShikamoo Mkuu.
Endelea kutaka Pesa, nakutakia kila la kheri, japo naona umepanic, sio lazma tufanane, hayo n mawazo yangu tu.. na ya kwako pia yapo valid kwa vigezo na experience zakoOK WEWE UNATAKAJE?,KAMA HUNA PESA WEWE NI BOYA TU KENGE WEWE AU VIPI? OOH MAPENZOI SIKU HIZI HAYADUMU OOOH WATU WANA BREAK UP OOOH MAPENZI KIZUNGUZUNGU,WEEE VIPIIIII?SISI WANAWAKE TUNATAKA PESA NA SIO MBOOO AU VIPI? MBOOO NI SUSAGE KULA WEWE NA WAZAZI WAKO WALIOKUZAA.
AmepanicHeee mbona hasira??
Si ungepita tu ndugu kama umekereka sana?[emoji15]
kapanic uyo.Tena ame shout kabisa na upper cases! Hizi hasira si mchezo, itabidi tumuombe Magufuli a easy-up mambo!
Umenena kweliZamani vijana waliozwa mapema, kijana akitoka jandoni anakabidhiwa kihamba na mke na huwezi kumwacha mke kirahisi.
Pamoja na kuwa mabadiliko makubwa kwenye jamii yalikuja na dini pamoja elimu na hayo lakini hakuna dini inayoruhusu ngono kabla ya mdoa. Hili ndiyo tatizo kubwa linalotuletea mimba za utotoni, magonjwa ya zinaa na momonyoko wa maadili.