Mahusiano na changamoto zake

Mahusiano na changamoto zake

Equation x

JF-Expert Member
Joined
Sep 3, 2017
Posts
37,118
Reaction score
55,540
Unatembea barabarani wewe na mpenzi wako, mara ghafla jicho lako linaingiliwa na mdudu na kukusababishia kuwa na upofu wa kutokuona tena katika maisha yako.

Je, mpenzi uliyenaye atakuvumilia wewe na huo upofu wako siku zote za maisha yako?

Kama ni ndio au hapana toa sababu.​
 
Naomba comments ziwe fupifupi ili tuokoe muda wakuu...🙂
 
Ukiwa na ujauzito tu mtu anajizima data, ndo iwe ugonjwa wa kudumu...🤣🤣🤣
 
Back
Top Bottom