Mahusiano- Mchongo chini ya kizibo

Duh!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna wanawake huwa wanatafuta wenza humu watakuja tu.

Wazo lako zuri sana la kutaka ku m serve jamaa ila two things involved: jamaa ana mke/ hawara kwa siri na hataki wewe ujue au hajaamua kuoa kwa sasa kutoka na sababu zake binafsi unless amekwambia indirect kuwa yupo ktk hilo hitaji. Kila la kheri both of you, you and your imaginary medical doctor friend...

Mambo yasiwe mengi, mengi yasiwe mambo
 
Nimekupata mkuu.

Kifup tu nikuwa, wanaume marafik tunajuana sanaaa.

Naamin Mkuu mademu ni wengi ndio, Lakin naamin vichwa havifanani.
Vichwa vnavyotafakar sana maisha vipo humu JF.

Na wanaume tunapenda kujuana na future wife mapema sema wao ndio wazembe katika hilo.
Inatufanya kupotezea tu, na kuamua kusaka hela tukiwa peke etu.

Naamin mwanamke anaweza mfanya mwanaume aliekua akitafuta elfu kumi kwa siku aanze kutafuta elfu 30 kwa siku.
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nimekupata pia ndugu.
Ni kweli ktk maisha kuna watu wanahitaji usaidizi kama huo.

Mambo yasiwe mengi, mengi yasiwe mambo
 
Mahusiano mchongo chini ya kizibo.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…