Piga hesabu zako tu utangundua ubora na raha ya kufa mapema. Sehemu walioko mitume na manabii kuna ubaya gani? Mwangalie babu yako na mkongojo ana raha gani, angalia machinga wana raha gani, ona wakulima wa jembe wana raha ipi, ona Dada zetu, wasanii, wachimbaji, askari, nk.mkuu huo uzoefu umeutoa wapi?
mkuu ume`panic flani..Piga hesabu zako tu utangundua ubora na raha ya kufa mapema. Sehemu walioko mitume na manabii kuna ubaya gani? Mwangalie babu yako na mkongojo ana raha gani, angalia machinga wana raha gani, ona wakulima wa jembe wana raha ipi, ona Dada zetu, wasanii, wachimbaji, askari, nk.
Kila MTU anapenda kulala usingizi mzuri usio na bughudha kwanini?
Easymkuu ume`panic flani..
Kuishi ni faida na starehe kwa wanaokutegemea kwa hili na lile basi !!Dah leo ndo nimegundua kufa ilivo starehe sitaogopa kufa tena naomba nife tu
Tofauti ya kifo na usingizi ni kwamba ukilala bado una pumzi yako.Kuna imani ya dini inayosema USINGIZI NI NUSU YA KIFO.
Mtu anapokuwa usingizi anakuwa amekata mawasiliano yake mengi katika ulimwengu wa kawaida.
hali yakuwa usingizi humfanya mtu kuingia ulimwengu wa ndoto na kuyaona yale ambayo hayaonekani katika uhai wa kuwa macho ama nje ya usingizi.
Mwanadamu anapotoka usingizi anaweza kuwa katika hali ya choka na hata wengine huamka hali ya kuwa wamekunja sura.
Imani za dini zinatuambia kuwa watu watafufuliwa katika njia tofauti. JE, NJIA HIZO ZINA MAHUSIANO GANI NA SI KUTOKA USINGIZINI?
Vipi wanadamu wanajiandaa na kifo kabla ya kufa na kufufuliwa.
SOMA PIA:
Usiku wa manane (saa 9 hadi saa 10 alfajiri) ndio wagonjwa wengi mahututi hufariki
Usingizi maana yake nini? Kwanini viumbe hai husinzia?
Kifo ni Ndoto Endelevu ya Milele
Uraibu Wa kufa na kuua ndiyo siri ya maendeleo ya wazungu, waasia na waarabu kiuchumi na kidemokrasiaHebu kufa kwanza ndio uje utupe story kuhusu 'uraibu wa kufa'
Itakuwa hivyo kama huna uhakika wanaokutegemea wataishije. Kufa ni raha kwako na mazingira. Mazingira yanatamani watu wote wafe ili warudishie udongo rutuba na misitu irudi.Nyie ongeeni tu siku mkitaka kufa msije kutulilia hapa ooooh Daktar kasema imebak miez minne