Mahusiano Barabarani. .....

Duuh yaani mie kwakweli hayo manuno sitaweza hata kidogo. Napenda vichekesho napenda kucheka napenda kuimba napenda kutabasamu. Bora kila mmoja atumie usafiri wake jioni mnasimuliana.

Pole aiseeh.
we umeoa/umeolewa au bado
 
Dalili ya mchoko, kuchokana!!
 
Yaani hiyo heading mi nikambilia mbio kufungua thread nikijua umetongozwa barabarani na stranger.
 
Sasa kama watu wanachokana si waachane kuliko kununiana kama wake wenza whaaaiii
Ni kweli kuachana ni bora zadi lakini kuna wale wa "kifo kitatutenganisha", hapo inabidi ufe na tai shingoni!
 
Yaani hiyo heading mi nikambilia mbio kufungua thread nikijua umetongozwa barabarani na stranger.

Hahahahaaa wananitongoza tuu hawaachi. .....

Ila siku ya tukio sikutongozwa. Siku hizi nimeacha kusimulia crush za Kasie. Ni mahaba kwa kwenda mbele...
 
Ni kweli kuachana ni bora zadi lakini kuna wale wa "kifo kitatutenganisha", hapo inabidi ufe na tai shingoni!

Ni kweli ila..... sheria imeandikwa imewekwa ili sio tuu ivunjwe bali uifanyie majaribio. ... jee nikitengana kabla ya kifo itakuwaje. ... ntakufa?
Maisha yakienda vyema unajitenga tuu ya nini kufa na tai.

Ila waliomo humo ndo wanajua mbivu na mbichi acha mie niendelee kupuyanga siyawezi hayo.
 
Hahaha
 
Duuh
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…