thanks kwa taarifaNapenda kuchukua nafasi hii adhimu kuwakumbusha kuwa HIJJA rasmi inaanza kesho katika mji wa MAKKAH.
Mahujaji watakuwa Minna na Muzdaliffa katika kufanikisha ibada yao hiyo adhim ya Hijja.
Siku ya Al Khamis kabla swala ya Adhuhuri mahujaji wote watasimama katika viwanja adhimu vya ARAFFAT na siku ya Ijumaa watachinja,
Napenda kuwakumbusha kuwa Siku ya ARAFFA tunaitikadi ni Sehemu, tendo na Muda. Sasa mahujaji wetu wakisimama katika viwanja hivyo basi sie wengine tusiobahatika kwenda tunasisitizwa kufunga.
Hivyo kila aliye na afya basi AFUNGE siku ya Alkhamis.
Mola atupokeleee swaumu yatu na atakabal dua zetu
Dr Hamza
Ukweli ni kuwa alikamatwa na vitabu vya kishirikina. Adhabu yake kwa mtu kuingiza vitabu vya kishirikina kama ni Hujaji basi anatozwa dolla 200 na kama raia wa kule au umekwenda kibiashara unafungwa miaka miwili.
Yeye alitozwa US dolla 200.
Sheikh gani aliyekamatwa huko saudia naomba ututajie na ni kwa sababu gani amekamatwa? Tunawatakia Kila la kheri waliokwenda kuhija Makka na hija njema na Nawatakieni sikukuu njema nasema Eidy El Fitri njema Asanteni sanaNaombeni mnitajie jina la huyu sheikh Mtanzania aliyekamatwa akiwanga kwenye hija. Itakuwa vizuri iwapo mtanitajia na msikiti anaoswali hapa Bongo. Lazima achapwe bakora kwa kuiaibisha nchi.
Sheikh gani aliyekamatwa huko saudia naomba ututajie na ni kwa sababu gani amekamatwa? Tunawatakia Kila la kheri waliokwenda kuhija Makka na hija njema na Nawatakieni sikukuu njema nasema Eidy El Fitri njema Asanteni sana
Napenda kuchukua nafasi hii adhimu kuwakumbusha kuwa HIJJA rasmi inaanza kesho katika mji wa MAKKAH.
Mahujaji watakuwa Minna na Muzdaliffa katika kufanikisha ibada yao hiyo adhim ya Hijja.
Siku ya Al Khamis kabla swala ya Adhuhuri mahujaji wote watasimama katika viwanja adhimu vya ARAFFAT na siku ya Ijumaa watachinja,
Napenda kuwakumbusha kuwa Siku ya ARAFFA tunaitikadi ni Sehemu, tendo na Muda. Sasa mahujaji wetu wakisimama katika viwanja hivyo basi sie wengine tusiobahatika kwenda tunasisitizwa kufunga.
Hivyo kila aliye na afya basi AFUNGE siku ya Alkhamis.
Mola atupokeleee swaumu yatu na atakabal dua zetu
Dr Hamza
Ndo na mimi natafuta jina lake kwani vyombo vya habari vilitangaza tu Mtanzania bila ya kutaja jina, ila alikwenda hija akakamatwa akifanya ushirikina.Sheikh gani aliyekamatwa huko saudia naomba ututajie na ni kwa sababu gani amekamatwa? Tunawatakia Kila la kheri waliokwenda kuhija Makka na hija njema na Nawatakieni sikukuu njema nasema Eidy El Fitri njema Asanteni sana
Ndo na mimi natafuta jina lake kwani vyombo vya habari vilitangaza tu Mtanzania bila ya kutaja jina, ila alikwenda hija akakamatwa akifanya ushirikina.
Ninavyoelewa mimi kwa ilmu yangu ndogo ya madrasa, baada ya kufunga inatakiwa kesho yake usali Eid. Hapa Bongo nadhani Eid itasaliwa Juma mosi. Unasemaje hapa sheikh?
katika sheria hakuna neno LABDA na katika sheria za kiislam hakuna neno DHANA.Walijuaje kama hivyo vitabu ni vya kishirikina? labda viliandikwa kwa kibantu tu. Tusioverstated issue bila ya ushahidi.