Mahawara wanasana Guest house

Ndo muda mzuri huo ni kisingizio kizuri upo kazini na kazini nako unaaga mtoto anaumwa au umefiwa na mwenye nyumba

Naona umeongea kiujuzi zaidi na uzoefu wewe kijana mzima lakini??? Mbona hupatikani
 
shigoooooooooooongoooooooooooooooo fffffffffffeeeeeeeeeeeeeeemmmmmmmmmmmmmmmmmuuuuuuuu
 
Naona umeongea kiujuzi zaidi na uzoefu wewe kijana mzima lakini??? Mbona hupatikani

Nimewekwa kinyumba na jimama la kitusi mi kula alafu mapenzi kisha kulala
 
vizuri sana nadhani akijunasua hatarudia tena. ila inaumaaaaa.
 
Nahisi mtegaji ni mweneyeji wa Tanga, wana mawivu kwa wake zao hao lakini wao malayaaaaaa
 
Fidel80!

Fika pale walipo na utowe huu ushauri wa bure!
Watafutie watumishi wa MUNGU na wakawaongoze sala ya toba na bila shk ni mambo madogo sana kwa wale wote wenye IMANI ya ukombozi.

Eti wako gest saa nane mchana!

Kazi kweli kweli!
 
iliwahi kutokea mwanza mwaka 2004 wakati niko huko.....walikaa siku 4 hadi mume wa mwanamke aliporudi toka kampala......nakumbuka wote wawili walijiua baada ya tukio hilo...
 
Nimeahirisha kwa muda appointment yangu ya leo
 
i see....
haya ndo madhara ya kubinjuka na mali za watu....
wale wapenda infed. mpo??????
:A S 13:
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…