Mbona hii story iko nusu nusu?
Mahatma Gandhi aliuwawa kwa kupigwa risasi na mshabiki mmoja ambaye alikuwa hapendi mazungumzo ya kutengana kwa Pakistani kutoka India (samahani kama nimekosea). Hakufa kitandani.
Tafadhali angalia ile filam ya Gandhi ambayo imechezwa na Sir Richard Attenborough utaipata hadithi yake vizuri.