SEGUZO
JF-Expert Member
- Sep 30, 2016
- 280
- 198
Kwanza kabila hili ndio kabila dogo zaidi nchini Tanzania idadi yao ni karibu watu elfu moja maisha yao hutegemea uwindaji na mazao ya porini.
.
Wahadzabe wanaoana kwa mahari ya Nyani wawili na debe la asali ambaye kwa kabila lao ndio vitu vyenye thamani zaidi
Sent using Jamii Forums mobile app
hapa anatolewa Nungu kwenye shimo
.
Wahadzabe wanaoana kwa mahari ya Nyani wawili na debe la asali ambaye kwa kabila lao ndio vitu vyenye thamani zaidi
Sent using Jamii Forums mobile app