Asante nimekuelewa.sasa ndugu wataka kugegeda for free au ukaoe kwingine
Daah so huyo aliyelala nae si ndo akatoe mahari kwanini mimiwewe hujakutana nae miezi minane mwenzio kalala naye jana usiku kucha
mapenzi hayahitaji hasira mate
Hivyo hili suala la mtu kukupiga stop usiendelee kugegeda hadi ukatoe mahari kwao ni sawa mkuu?mahali ni mila na ni desturi lkn pia ni makubaliano
Kweli wabongo mnapenda misererekoMpenzi wako ambaya mmeshakua nae kimapenzi baadae akaamua kutumia kigezo cha kukupiga stop kukutana tena mpaka upeleke mahari kwao ni sahihi? Na hamjakutana kwa miezi 7 au 8.
Mkuu Bujibuji mtu anaku force kabisa na tabia ya forcing sio kwenye jambo hlo tu kuna siku tupo ndani gagoma kugegedana mpaka tujadili mambo ya ndoaKweli wabongo mnapenda miserereko
ungemuuliza ninakuoa au unanioa?Mkuu Bujibuji mtu anaku force kabisa na tabia ya forcing sio kwenye jambo hlo tu kuna siku tupo ndani gagoma kugegedana mpaka tujadili mambo ya ndoa
Umeeleweka mkuuungemuuliza ninakuoa au unanioa?
Najua ni muhimu nauliza tu ni sahihi kwa bint kumuwekea masharti mpz wake wakat flan kutofanya mapenzi hadi apeleke mahari kwaoMahar muhim Sana