Kutojiamini ni tatizo kubwa sana katika kizazi hiki...
Kwanza sijui ni kwanini unahusisha mahari na tabia ya binti.Najiuliza hivi kwasababu waliopanga mahari ni watu wengine kabisa na siyo binti,lakini hata kama angekuwa amepanga binti,shida ni nini?
Yaani unahusishaje mahari na tabia ya mtu?
Tatizo ninaloliona hapa ni ninyi kuanza kuogopa kutokana na huyo binti kuwa yupo vizuri halafu ninyi mnajiona siyo saizi yake.Kama hamtajirekebisha nawashaurini muachane na huyo binti msije kusababishia matatizo huko mbeleni maana kwa kutojiamini huku mtamletea shida sana...
Tafuteni wa saizi yenu...
Usiishi kwa mazoea,maisha hayapo hivyo na hayafanani kila mahali....Mkuu tushazoea kule kwetu mabinti kama hawa bila ngombe tano hupati ndo mana nkasema sijui kwanini nikashtuka sana
labda hawana shida na tamaa kama wazaz wengine..ukizingatia ulivoeleza pia kuhusu binti..na wao kuwapiga kiwango kikubwa cha pesa ni kama wanamuuza binti yao.Mkuu tushazoea kule kwetu mabinti kama hawa bila ngombe tano hupati ndo mana nkasema sijui kwanini nikashtuka sana
Usiishi kwa mazoea,maisha hayapo hivyo na hayafanani kila mahali....
Afadhali hata huyo amewaambia biblia,kuna mahali watu waliombwa shilingi 600.Msingi wa uimara wa ndoa siyo vitu vya nje hata siku moja ni namna unavyojitazama na kuwatazama wengine...
Kanuni hiyo ndiyo imekufanya ukaandika uliyoandika kwasababu unajitazama kwa namna duni na kufikiri kuwa thamani ya mtu ni vitu vya nje na kufikia hatua ya wewe kufikiri kila mtu anatazama mambo kama wewe.Hapo umekutana na mtu anayetazama mambo tofauti umeshaweweseka....
Ndiyo maana nimekuambia unapaswa ubadilike sana wewe na huyo jamaa yako....
Still,bado mna matatizo ya kutojiamini na kuishi kwa mazoea...Mimi ni mjasirimali mkubwa tu, nina biashara zangu nyingi na nina maisha mazuri kiasi, kubadilisha gari kila mwaka na kujenga nyumba hovyo havinipi shida, mboga kubadilisha ni kila siku, namshukuru Mungu kanibariki sina maisha duni na mshkaji wangu nae hivyo hivyo ila ni nadra sana kukuta mabiniti wa aina hii unaona nao mara moja moja na hata ukimwona na ukaenda kwao kama sio wazazi basi ndugu wataweka dau kubwa sana, ni kawaida kwa familia zetu za kitanzania
Still,bado mna matatizo ya kutojiamini na kuishi kwa mazoea...
Mnapaswa mbadilike sana tu.Kuwa na mafanikio yoyote ya nje hakuondoi tatizo hili na kuna wakati linaongezeka na ndiyo maana hata hapa umeeleza haya wakati ulipaswa ujibu kwa namna nyingine tu....