Kinyerez kuna mahakama
hapa ndio msikitini?Wananchi mm ni mtanzania mwema shida yangu ilikuwa nili apply kufungua mirathi ya marehemu baba yangu akiwa amefariki kisutu ILALA nika elezwa kuwa niende mahakama ya Kinyerezi nikaenda baada ya kupeleka application yangu Monday ya 15/7 jibu nikapewa tahere 16/7 kuwa application yangu haijakubaliwa due to our parents and we are Muslim now my question is mahakama imewekwa kwa kusikiliswa kero ya wananchi na kupata muongozo sio kimila kusema kuwa Sisi waislamu hatuwezi kupata msaada yeyote je nahitaji msaada na muongozo what next step should I take.
Mahakama ya wilaya ya Ilala ikiyokua pale Lumumba/Samora imehamishiwa KinyeleziKinyerez kuna mahakama
yes, ipo kinyerezi, mpaka ufike kule kama unaatokea mjini ni masaa mawili, kilikuwa kiwanja mtumishi mwenzetu, akaamua kukiuza kwa mahakama, kwakweli mawakili wanapoata shida sana, ukiwa na kesi huko, hakikisha mteja anakulipa laki moja ya nauli, na pia usiwe na kesi nyingine mjini wala mahakama yeyote.Mahakama ya wilaya ya Ilala ikiyokua pale Lumumba/Samora imehamishiwa Kinyelezi
TATIZO WIVUCc Moderator huu uzi wa kuhamishwa kwenye jukwaa hili.
unaona kama hayakuhusu lakini mwenzio membe yamemkuta, nape, mwigulu, haya endelea.Cc Moderator huu uzi wa kuhamishwa kwenye jukwaa hili.
sawa..amani itawale.unaona kama hayakuhusu lakini mwenzio membe yamemkuta, nape, mwigulu, haya endelea.
tusubiri jibu la Incharge wa Ilala DC, sijui kama Msajili Mkuu wa Mahakama anajua haya mambo.Wananchi mimi ni mtanzania mwema shida yangu ilikuwa nili apply kufungua mirathi ya marehemu baba yangu akiwa amefariki kisutu ILALA nika elezwa kuwa niende mahakama ya Kinyerezi nikaenda baada ya kupeleka application yangu Monday ya 15/7 jibu nikapewa tahere 16/7 kuwa application yangu haijakubaliwa due to our parents and we are Muslim
Now my question is mahakama imewekwa kwa kusikiliswa kero ya wananchi na kupata muongozo sio kimila kusema kuwa Sisi waislamu hatuwezi kupata msaada yeyote je nahitaji msaada na muongozo what next step should I take.