Kenya 2022 Mahakama Kuu yakataa kuwaongeza muda Ruto na Gachagua kupanga utetezi wao

Kenya 2022 General Election

BARD AI

JF-Expert Member
Jul 24, 2018
3,517
8,445
Akitolea ufafanuzi kuhusu hatua hiyo, Naibu Jaji Mkuu Philomena Mwilu amesema Mahakama haitapokea maombi mengine, lakini Rais Mteule Ruto ataruhusiwa kujibu hati za kiapo zilizowasilishwa na Mwanasheria Mkuu Paul Kihara Kariuki wakati wa kusikizwa kwa kesi hiyo.

Mahakama hiyo pia ilikataa kuwaruhusu wataalamu wa Tehama, John Walubengo, Joseph Sevilla na Martin Mirero kushiriki katika uchunguzi wa kura kutoka vituo 15 vya kupigia Kura.

Maamuzi hayo ya Mahakama Kuu yanazidi kumpa ahueni Mgombea wa Azimio, Raila Odinga na walalamikaji wengine waliotaka kuthibitisha madai ya udanganyifu katika uchaguzi.

==============

The Supreme Court has declined to add more time for President-elect William Ruto, his deputy-elect Rigathi Gachagua as well as Independent Electoral and Boundaries Commission (IEBC) commissioner Abdi Guliye to mount their defence.

The revelations were made by Deputy Chief Justice Philomena Mwilu who also added the court was not going to entertain any other filing of pleadings, but Ruto will be allowed to respond to affidavits filed by Attorney General Paul Kihara Kariuki during the hearing.

The Apex Court also declined to allow technical experts John Walubengo, Joseph Sevilla and Martin Mirero from participating in the scrutiny of ballots from 15 polling stations, saying "Amici Curiae (friends of the court) are limited to written submissions that are filed in court."

PULSE KENYA
 
D35ECF37-2725-46C4-8A96-DD92A3D6C0B5.jpeg
 
Back
Top Bottom