figganigga
JF-Expert Member
- Oct 17, 2010
- 25,658
- 55,485
Mahakama kuu kanda ya Mwanza imefuta rasmi kesi ya madai ya kupinga matokeo ya uchaguzi wa mbunge jimbo la Ilemela.
Kesi hiyo imefutwa kutokana na ombi maalumu la mleta shtaka Hynes Kiwia kuataka kupunguziwa gharama za kuendesha keshi hiyo jambo ambalo lilishindikana kutokana na ombi hilo la kutokidhi vigezo
Katika shauri hilo lililofunguliwa mwaka jana Hyness Kiwia aliye mbunge wa jimbo la ilemela aliwashitaki Angelina Sylivester Mabula ambaye kwa sasa ni Mbunge wa Jimbo hilo.
Shauri hilo limefutwa na msajili wa mahakama kuu kanda ya mwanza Eugenia gerald na kushuhudiwa na mawakili wa pande zote mbili.
Chanzo: Star TV