Mahaba ya Refa wa Chelsea Vs PSG

Mahaba ya Refa wa Chelsea Vs PSG

bowlibo

JF-Expert Member
Joined
Dec 10, 2011
Posts
3,206
Reaction score
2,908
Haya ni mahaba yaliyopitiliza, mpira haujaingia kimiani yeye tayari ameshaonyesha kati.
 
Attachments

  • 268CC93400000578-2990463-image-a-117_1426111106892.jpg
    268CC93400000578-2990463-image-a-117_1426111106892.jpg
    69.3 KB · Views: 1,131
hahaha kimsingi alishaona kipa kapotea na ni miujiza pekee ingezuia huo mpira, + hakupiga filimbi mpk mpira ulipoingia wavuni. Anyway, WAMETOLEWA.

Lakini je, ni utaratibu?
 
Kwaio tuseme chelsea imeendelea au imeaga mashindano??

Arsenal ipo itaiwakilisha Uingereza, muhimu kombe liende Uingereza....
 
Sioni tatizo, filimbi ndio mwamuzi. Angepiga filimbi kabla mpira kuingia wavuni hapo ndio ingekuwa noma

Sio kama nakusumbua kuuliza je ni utaratibu? Inawezekana hata filimbi ashapuliza sema kwenye picha hatuwezi kuisikia.

Haiyumkini filimbi na mkono vilienda simultaneously
 
Kwaio tuseme chelsea imeendelea au imeaga mashindano??

Arsenal ipo itaiwakilisha Uingereza, muhimu kombe liende Uingereza....

Mungu hakuwa upande wa refa.

Cheki picha hiyo halafu na red aliyopewa Ibra. Utachoka, tuiombee The Gunners
 
Sio kama nakusumbua kuuliza je ni utaratibu? Inawezekana hata filimbi ashapuliza sema kwenye picha hatuwezi kuisikia.

Haiyumkini filimbi na mkono vilienda simultaneously

Nadhani hiyo picha imepigwa wakati bado yuko katika hatua za ku-point kati, so by the time anamaliza nadhani na mpira ulikuwa nyavuni na kipyenga ndio kikalia. Kungekuwa na kosa limefanyika nadhani ingekuwa ni issue kwenye media mpk sasa, sana sana hapo naona ni hisia tu za mashabiki tusioipenda Chelsea/Mou trying to instigate something outta nothing.
 
But such these refs do spoil games, crystal palace fans know better and fed up (look the banner)
 
Attachments

  • B0PEwgwIgAApyN8 (1).jpg
    B0PEwgwIgAApyN8 (1).jpg
    57.7 KB · Views: 261
Sasa mtu unamuona kishalala upande wa kushoto na mpira unaelekea kulia..
Kinachofata ni nini jamani!??
Puliza kabisa ili wakiokota waeke kati tuuu no kupoteza muda😀😀
 
But such these refs do spoil games, crystal palace fans know better and fed up (look the banner)

Hahaha sure thing. Badae huko mbele nadhani tutakuwa na computerized refereeing kuondoa utata michezoni. Until then, just sit tight bro
 
Wana laana ya kunichania mkeka wangu kwa kushindwa kulinda goli!!

Safi sana thiago Silva
 
Kwaio tuseme chelsea imeendelea au imeaga mashindano??

Arsenal ipo itaiwakilisha Uingereza, muhimu kombe liende Uingereza....

kombe kwenda uingereza izo ni ndoto za abunuwasi..
 
Back
Top Bottom