How do I see it?..hmm! I'm all game baby.
Will I do? Well, If I ever stutter, I'd put a slug in my skull.
SIKIO LA KUFA......crazy @$$ chick..........I'm just going to assume you're yet another person who hasn't found the space in her brain to consider where this(fantasy thing) is going.My ''wise'' advice has failed,recommended meds,have failed.You only need miracle,the final hope.Hahahahhahahahaaaa where are you from !!???..... I though you've gone....
This time don't come up with your lines of philosophies cause I'll report you yo my lawyer....
Don't say that I didn't warn you.
Waaalaaah haya ni mahabat tuu..... mambo ya kikubwa mbona yako kwa Salome heheheh anayeambiwa asonge ugali mara ainame ashike magoti mara kasimamiwa nyuma kama ngongoti.
Aliniacha hoi jamaa mmoja aliyeambiwa na mpenzi wake amuimbie wimbo wa Salome, bidada akitegemea kuimbiwa wimbo wa Salome alioimba Dai, hee!!! Jamaa si akaanza kuimba wimbo wa Salome sijui aliuimba nani ni wimbo wa zamaniiii siku hizi hata sikusikii tena, unaimba ..."Salome juu ya kaburi lako nalia kilio nakisikia. .. ............. kosa nilokufanyia. ....."
Bidada akabaki heeeh! !!
SIKIO LA KUFA......crazy @$$ chick..........I'm just going to assume you're yet another person who hasn't found the space in her brain to consider where this(fantasy thing) is going.My ''wise'' advice has failed,recommended meds,have failed.You only need miracle,the final hope.
Hiyo mistari ina harufu za Ikungulyabashashi
i'm sure it'll all work itself out in time. Goodluck on your own!!!Get lost dude..... you gat nothing to Kasie. ...
Thanks for trying and show interest in being my hero but sorry to let you down..!!
Ciao!!πππ
Hahahahahahaa usinikumbushe maana nikikumbuka sauti na lafudhi nalowa lowa najikuta nalewalewa nahorojeka
Nimetumbukia kwenye dimbwi la Ikungilyabashashi naogelea tuu rahaa sana.
Asante kwa ukarimu. ... π
Uzee umekufikia unajiparaguza tu..!Mahabuba wangu.... mahabati wake Kasie.... Dadiii..... sauti yako tuu yanikosha na kunilainisha waalaah kila uwapo karibu yangu tabasamu halikauki usoni mwangu.... kwa mwendo huu ndita ntabaki kuziona kwa wamakonde heheheh (mniwie radhi wamakonde ni mfano tuu).
Nikiwa nakusinga basi sauti haiishi kutoka kinywani mwangu nikikuimbia huku natabasamu..... hahahahaa mahaba nibemendee niendelee kupendana na dadii wangu.
......" Yarabi iwe salama...
Salama usalimini. ..
Wasipate ya kusema....
Maadui asilani. .....
Mapenzi yawe ya daima. ...
Yasiingiliwe na mtu....
Waloomba tuachane. ....
Wasiweze kutupata katu....
Nyoyo zao ziwauume....
Kwetu wamepatoka patupu....patupuuu....
Inshallah nitadumu nae....
Hata wende kaburini. .......
..........................................
Oooh nyoyo zao zinaona haayaaa ......haya kama nini......
Kwake sipati karaha.....
Huyu ni wangu.......
Nitadumu nae kwa nguvu za maanani.
Walochongaa ......tunakomaa nao...
Na wachongeee....
Kimpango.....waooo......
Heheheheheee heheeiyaaaa iyanga iyanga...... kuluumpaaa......
Shurti mpenzi wangu kumkatia vipande vya nazi mbata na mihogo mibichi bila kusahau karanga mbichi....
Haina madhara Kasie nipo nimejaa teleee
Lile busu letu lile ndo nakuacha nalo dadiii. ....
Alamba Alamba aaammm aaammm...
Alamba Alamba tena...aaammm aaammm πππ
He hee kwanini umewaza pedi?Dadii aliwahi kukununulia pedi mkuu?
Utarudi tena?
She skipped my question but i real wanna know!....you know am behaviourist!He hee kwanini umewaza pedi?
Especially in africaKeep on cause wonders shall never end hehehehe