Kasie
Platinum Member
- Dec 29, 2013
- 22,801
- 43,177
Mahabuba wangu.... mahabati wake Kasie.... Dadiii..... sauti yako tuu yanikosha na kunilainisha waalaah kila uwapo karibu yangu tabasamu halikauki usoni mwangu.... kwa mwendo huu ndita ntabaki kuziona kwa wamakonde heheheh (mniwie radhi wamakonde ni mfano tuu).
Nikiwa nakusinga basi sauti haiishi kutoka kinywani mwangu nikikuimbia huku natabasamu..... hahahahaa mahaba nibemendee niendelee kupendana na dadii wangu.
......" Yarabi iwe salama...
Salama usalimini. ..
Wasipate ya kusema....
Maadui asilani. .....
Mapenzi yawe ya daima. ...
Yasiingiliwe na mtu....
Waloomba tuachane. ....
Wasiweze kutupata katu....
Nyoyo zao ziwauume....
Kwetu wamepatoka patupu....patupuuu....
Inshallah nitadumu nae....
Hata wende kaburini. .......
..........................................
Oooh nyoyo zao zinaona haayaaa ......haya kama nini......
Kwake sipati karaha.....
Huyu ni wangu.......
Nitadumu nae kwa nguvu za maanani.
Walochongaa ......tunakomaa nao...
Na wachongeee....
Kimpango.....waooo......
Heheheheheee heheeiyaaaa iyanga iyanga...... kuluumpaaa......
Shurti mpenzi wangu kumkatia vipande vya nazi mbata na mihogo mibichi bila kusahau karanga mbichi....
Haina madhara Kasie nipo nimejaa teleee
Lile busu letu lile ndo nakuacha nalo dadiii. ....
Alamba Alamba aaammm aaammm...
Alamba Alamba tena...aaammm aaammm 😉😉😉