PROFESSOR JOACHIM
Member
- Oct 11, 2015
- 49
- 35
Huwezi kupata nuru kwa kusababisha giza kwa wenzako.
Huwezi kuwa juu kwa kuwashusha wenzako.
Acha kuwatakia wengine mabaya, nawe utafanikiwa. Usiwe kama MSUZI kazi kunuka tu! Siri ya kushindwa ktk maisha ni KUWA MUOVU.
UOVU ni giza, hutaweza kuona fursa za mafanikio kama UOVU ukitawala fikra zako.
Jiulize kwanini unapenda uwe juu tu, bila kufikiria wenzako wanafikaje juu?
Anza tabia ya kuwatakia mema wenzako na kuwafanikisha kwa hali na mari ndio njia ya kufanikiwa kwako.
HAKUNA KITU AMBACHO HAKIPO KWA AJILI YA VITU VINGINE.
NAAM, simu ipo kwa ajili yako si kwaajili yake. Umeme upo kwa ajiri ya vifaa vya umeme na si kwa ajili yake wenyewe. Nyumba haipo kwa ajiri yake yenyewe bali kwaajili ya wanaoikaa. Nguo haziko kwa ajili yao zenyewe bali zipo kwa ajili ya wavaaji.
Naam barabara hazipo kwa ajiri yao binafsi bali kwa ajiri ya wapita njia.
Je, ni kipi kipo kwa ajiri yake chenyewe???
NITAJIE KAMA UNAKIJUA NAMI NIKUPE ZAWADI YA PICHA YA HEWA!!!
NI KIPI AMBACHO KIPO KWA AJILI YAKE CHENYEWE BINAFSI.
Mke yupo kwa ajili ya mume, na mume kwa ajili ya mke.
Ambaye anaamini yupo kwaajili yake binafsi na ajitokeze nimmpe zawadi ya GIZA LINALOTOA NURU!!!
Naam kuna kitu kipo kwa ajili yake chenyewe. Je, UCHAFU UKO KWA AJILI YA NANI?
MSUZI (hewa chafu unayotoa unapojamba) upo kwa ajili ya nani?
kinyesi kipo kwaajili ya nani? Naam choo ni kwaajili ya kinyesi, je kinyesi kipo kwa ajili ya nani? KINYESI, MSUZI, NA UCHAFU, VIPO KWA AJILI YAO BINAFSI.
Kama wewe upo kwa ajili yako binafsi, basi wewe ni MSUZI!!!
Kama hutaki kumsaidia mwenzako kufanikiwa basi wewe ni makamasi mbele ya mtu huyo!
Je, umewahi kusikia KUNA JALALA LA PESA?
PESA IPO KWA AJILI YA VITU VYOTE NDIO MAANA INATHAMANI KULIKO VITU VYOTE KTK MAISHA.
Je, kati ya omba omba na mtoaji NI NANI MWENYE THAMANI. NAAM NI HERI KUTOA KULIKO KUPOKEA.
UKIWA NI MTU WA KUPOKEA TU HUTAKAA UTHAMINIKE NA YEYOTE.........utatulaumu bure Pumbavu!
Ukitaka uwe pesa kwa watu..............UWE TAYARI KUTENDA MEMA KWAO.
Ukitaka kuwa msuzi kwetu ENDELEA KUWA MCHOYO NA MBINAFSI, ENDELEA KUTAMANI KUJENGA, KUMILIKI PESA NYINGI, KUMILIKI BIASHARA KUBWA ili uishi maisha ya raha mstalehe na si kuwasaidia na kwainua wanyonge.
KWANINI BWANA YESU ANATHAMANI KULIKO WOTE, ni kwasababu aliyatoa maisha yake kwa WATU WOTE.
THAMANI YAKO HAIKO KWA VILE ULIVYONAVO BALI VILE UNAVYOTOA by Prof. Joachim Mahanga
Umewahi kujiuliza kwanini wengine wakifa bendera hupepea nusu mlingoti wakati wengine wakifa hakuna anayejua kwamba kuna mtu kafa?
umewahi kujiuliza kwanini mandela alizikwa na dunia wakati wengine wakifa hakuna anayejali?
Umewahi kujiuliza kwanini JK NYERERE anaheshima isiyochuja kwa watanzania wakati waliomfuata hawana heshima hiyo?
Umewahi kujiuliza kwanini HESHIMA YA JPM inakuwa kila siku?
JIBU NI RAHISI SANA: "JITOE KWA AJILI YA WENGINE, NA WENGINE WATAJITOA KWA AJILI YAKO"
UTAVUNA UNACHOPANDA!
Leo hii nikifa, kuna mtu atasema "ni nani atakayenipa MAFUNDISHO ya hekima kama ya Joachim???"... moyo wake utaumia! na macho yake yatelengalenga na machozi!.........fikiria je, kama kazi yangu ingekuwa ni kupiga picha na kuonesha FB jinsi navyokula bata, tunavyopendana na girl friend wangu n.k Huyo mtu je, ataona amepoteza chochote siku nikijiudhuru kuvuta pumzi?
Kila mtu anayeishi kwa ajili yake huwa kero kwa jamii. Mtu anayeishi ili kutimiza MATAKWA YAKE BINAFSI huwa teso na baa kwa jamii. Mfano MWIZI, KAHABA MLEVI, MVUTA BANGI, MVUTA DAWA ZA KULEVYWA, MLA RUSHWA, MBAKAJI, MUUAJI, MVAA NGUO ZA NUSU UCHI N.K.
KIFUPI, dunia imeharibiwa na mtu mmoja tu! Yeye aliyeamua kufata FAIDA ZAKE BINAFSI.
Kifupi dunia inasaidiwa na mmoja tu! YEYE ANAYEISHI KWAAJILI YA WENGINE. MFANO: Mwalimu, daktari, mchungaji, injinia.............YESU(MUNGU).
BADILI MTAZAMO, ISHI KWA AJILI YA WENGINE. VITU VYOTE VINAWEZA KWA NA THAMANI LAKINI HAKUNA KITAKACHOISHINDA FEDHA THAMANI KWANI FEDHA IPO KWA AJILI YA VITU VYOTE.
THAMANI YAKO IPO KATIKA KUTOA, SI KUPOKEA.................unafikiri kuwa na PESA NYINGI ili uishi maisha ya kifahari, ili wanakuchukia WAISOME NAMBA, ili kila msichana unayemtongoza akubali, ili utanue unavyotaka............WEWE NI MSUZI KABISA!!!!!!………………………Hutakaa ufanikiwe kabisa.
Unafikilia kuwa bilionea ili ujenge shule za watoto yatima, ujenge hospitali za matibabu bure kwa wajane, yatima na maskini, ili kuwasaidia mateja na kadhia ya madhara ya dawa za kulevya na kuwapa mitaji....n.k.............USIPOFANIKIWA KUFIKIA NDOTO ZAKO NITASHANGAA SANA KULIKO USHANGAO!!!
SIRI YA MAFANIKIO NI KUISHI KWAAJILI YA WENGINE. SIRI YA KUSHINDWA NI KUISHI KWAAJILI YAKO...(MSUZI)!!!
HUU NDIO UKWELI. Kama unataka Mungu aubadilishe MOYO wako na kukufanya kuwa mtu mwema, njoo ktk akaunti yangu ya facebook, soma post inayosema "DINI ZOTE ZINATOKA KWA SHETANI", Soma post nyingine inasema "TUNZA MUDA KAMA MBONI YA JICHO HUTAKUWA KIPOFU WA MAFANIKIO"........Soma na post nyingine, zitendee kazi, hakika utabadilika kutuka VUMBI KUWA FEDHA.
Jina la akaunti yangu ni Joachim Mahanga