Mgombea wa urais kupitia CCM Dr Magufuli amezidi kupata uungwaji wa makundi tofautitofauti kila kona ya Tanzania.Ushawishi wake umelinganishwa na rais wa Marekan Barack Obama.Kila kona ya nchi hii Magufuli kazidi kuimarika na kupata ushawishi mkubwa kiasi cha kuwaacha mbali wapinzani wake waliobakia na hoja ya kulalamika.