Magufuli yupo sahihi. Wamachinga Waachwe wafanye biashara zao. maana wanasaka ugali wao tu

FRESHMAN

JF-Expert Member
Sep 29, 2011
8,822
33,531
habari wadau.

jana nimemuelewa rais wangu kipenzi why hataki wamachinga wasumbuliwe.

maana wanahangaika wapate ugali wao tu sababu rasilimali zao zote kama watanzania viongozi mnaziiba na bado mnawafukuza wakitafuta ugali wao.. mnataka wakale wapi..

nyinyi mnaiba na kuanzisha ma Ticts, Ma hoteli halafu mnasema wamachinga wanachafua mji....

mngetunza rasilimali zao kila mtanzania akala national cake nani angekuwa mmachinga bila utaratibu..

mama ntilie.. wamachinga, bodaboda wote waachwe wasisumbuliwe hawajapenda kuwa wamachinga.. hawajamuibia mtu


nyinyi mna sehemu za kuiba mabilioni kwa kalamu tu halafu mlivyo wa binafsi mnafukuza wanaosaka ugali tu.

na kuwaponda hawana elimu huku rasilimali za kuwapa elimu mnaziiba
 
Back
Top Bottom