Kwa sasa hivi upinzani labda wasubiri sana, walishabamizwa huwa hawaruhusiwi hata kukusanyika watano, ila CCM wamekua wakipiga kampeni kila siku kote kote na wamefaulu kuwafanya Watz wote waimbe mapambio ya kusifu, ukweli upinzani unakwenda kufutwa Tz kwenye huu uchaguzi.